full time Ajira Market • Posted Aug 10, 2026

AFISA UTUMISHI/ HR

Singida
Closing: Aug 31, 2026

Ajira Market account required

Applications are accepted only through Ajira Market. Sign in or create a job-seeker account, then complete your application there.

Job Description

-Kusimamia mchakato wa ajira kuanzia kutangaza nafasi za kazi hadi kuwapokea wafanyakazi wapya (recruitment & onboarding).
-Kuandaa na kusimamia mikataba ya ajira, nyaraka za wafanyakazi na kumbukumbu zote za HR.
-Kusimamia mahudhurio, likizo, utendaji wa wafanyakazi na nidhamu kwa kuzingatia sheria za kazi.
-Kushauri menejimenti kuhusu masuala ya rasilimali watu na uhusiano kazini.
-Kuratibu mafunzo na programu za maendeleo ya wafanyakazi.

Requirements & Qualifications

-Awe na kiwango cha chini cha Stashahada (Diploma) au Shahada (Bachelor’s Degree) katika Human Resource Management, Public Administration, Business Administration au fani inayohusiana.
-Awe na uzoefu wa angalau miaka 2 katika kazi za Rasilimali Watu.
-Awe na uelewa mzuri wa Sheria za Kazi za Tanzania na taratibu za ajira.
-Awe na uwezo mzuri wa kuandaa mikataba ya ajira, sera na nyaraka za HR.
-Awe na ujuzi wa kutumia Microsoft Office na mifumo ya usimamizi wa rasilimali watu (HRIS) utakuwa faida.
-Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano, kupanga kazi na kutatua migogoro.

Position Summary

Employment Type full time
Vacancies 1
Location Singida
Posted On Aug 10, 2026
Deadline Aug 31, 2026

Recruitment Safety

Singida Teachers Training College never asks for payment during the recruitment process. Applications are handled securely through Ajira Market.