full time Ajira Market • Posted Aug 11, 2026

MKUU WA CHUO, SINGIDA POLYTECHNIC

Singida
Closing: Aug 31, 2026

Ajira Market account required

Applications are accepted only through Ajira Market. Sign in or create a job-seeker account, then complete your application there.

Job Description

• Kuongoza chuo kwa kutoa dira, mwelekeo na usimamizi wa kimkakati.
• Kusimamia ubora wa ufundishaji, ujifunzaji, tathmini na maendeleo ya mitaala.
• Kusimamia utekelezaji wa sheria, kanuni na miongozo ya NACTVET.
• Kuandaa na kusimamia mipango ya maendeleo ya chuo.
• Kusimamia fedha, rasilimali watu na mali za chuo.
• Kusimamia utendaji wa wafanyakazi na kujenga timu yenye matokeo.
• Kukuza matumizi ya TEHAMA katika shughuli za chuo.
• Kukuza ushirikiano na taasisi za ndani na nje ya nchi.
• Kusimamia shughuli za masoko na kuongeza udahili wa wanafunzi.
• Kutekeleza majukumu mengine yatakayoelekezwa na Bodi ya Chuo.

Requirements & Qualifications

• Raia wa Tanzania.
• Shahada ya Uzamili (Master's Degree); PhD itakuwa faida ya ziada.
• Uzoefu wa angalau miaka 5 katika uongozi wa taasisi ya elimu.
• Uelewa wa mifumo ya NACTVET na sera za elimu.
• Uwezo wa kupanga mikakati, kuongoza timu na kufanya maamuzi.
• Mawasiliano bora kwa Kiswahili na Kiingereza.
• Ujuzi mzuri wa TEHAMA.

Position Summary

Employment Type full time
Vacancies 1
Location Singida
Posted On Aug 11, 2026
Deadline Aug 31, 2026

Recruitment Safety

Singida Teachers Training College never asks for payment during the recruitment process. Applications are handled securely through Ajira Market.