full time Ajira Market • Posted Aug 11, 2026

WARATIBU WA MIKOA (REGIONAL COORDINATORS)

Singida
Closing: Aug 31, 2026

Ajira Market account required

Applications are accepted only through Ajira Market. Sign in or create a job-seeker account, then complete your application there.

Job Description

● Kusimamia na kuratibu wakufunzi wote waliopangiwa kufanya kazi katika mkoa/kanda husika.
● Kuhakikisha vituo vya kazi vinapata mahitaji muhimu ya kufundishia (teaching resources).
● Kufuatilia mahudhurio na utendaji wa wakufunzi katika vituo vyote vya mkoa wake.
● Kuratibu ratiba za ufundishaji na mazoezi ya ufundishaji (teaching practice) ya wanafunzi.
● Kuwasilisha taarifa za kila mwezi kuhusu maendeleo ya ufundishaji Makao Makuu ya Chuo.
● Kutatua changamoto za kiutendaji zinazojitokeza katika vituo vya mkoa wake kwa wakati.
● Kusimamia nidhamu na maadili ya wakufunzi katika eneo lake.
● Kuwa kiungo rasmi kati ya Makao Makuu ya Chuo na vituo vya kazi vya mkoa husika.

Requirements & Qualifications

● Uwe na Shahada ya Kwanza/Uzamili (Bachelor's Degree / Master's Degree) katika Elimu, Utawala au fani husika; Shahada ya Uzamili itakuwa faida ya ziada.
● Uwe na uzoefu wa angalau miaka mitatu (3) wa kufundisha na/au kusimamia shughuli za kitaaluma.
● Uwe na uwezo wa uongozi, uratibu na usimamizi wa watu.
● Uwezo wa kusafiri na kufanya kazi kwa uhuru katika mkoa/kanda husika.
● Umahiri wa mawasiliano na uandaaji wa taarifa za kiutendaji.

Position Summary

Employment Type full time
Vacancies 15
Location Singida
Posted On Aug 11, 2026
Deadline Aug 31, 2026

Recruitment Safety

Singida Teachers Training College never asks for payment during the recruitment process. Applications are handled securely through Ajira Market.