full time
Ajira Market
• Posted Aug 17, 2026
MHASIBU WA CHUO
Singida
Closing: Sep 08, 2026
Ajira Market account required
Applications are accepted only through Ajira Market. Sign in or create a job-seeker account, then complete your application there.
Job Description
Majukumu Makuu
Kusimamia mapato, matumizi na kumbukumbu zote za fedha za Chuo.
Kuandaa taarifa za fedha za kila mwezi, robo mwaka na mwaka.
Kusimamia ukusanyaji wa ada na kufanya ufuatiliaji wa madeni ya wanafunzi.
Kuandaa bajeti na kufuatilia matumizi kulingana na bajeti iliyoidhinishwa.
Kufanya usuluhishi wa benki (Bank Reconciliation) na kutunza nyaraka za malipo.
Kusimamia mifumo ya kihasibu na kuhakikisha miamala yote inaingizwa kwa usahihi.
Kuandaa nyaraka na taarifa zinazohitajika kwa ukaguzi wa hesabu (Audit).
Kuhakikisha taratibu, kanuni na sera za fedha za Chuo zinafuatwa.

Requirements & Qualifications
Sifa za Mwombaji
-Awe na Shahada ya Uhasibu, Fedha au fani inayohusiana kutoka chuo kinachotambulika.
-Awe na ujuzi mzuri wa mifumo ya kihasibu, Microsoft Excel na matumizi ya kompyuta.
-Awe mwaminifu, makini, mwenye nidhamu na uwezo mkubwa wa kutunza siri za kifedha.
-Uzoefu wa kazi za uhasibu, hususanI katika taasisi ya elimu, utakuwa ni faida ya ziada.

Position Summary
Employment Type
full time
Vacancies
1
Location
Singida
Posted On
Aug 17, 2026
Deadline
Sep 08, 2026
Recruitment Safety
Singida Teachers Training College never asks for payment during the recruitment process. Applications are handled securely through Ajira Market.