full time
Ajira Market
• Posted Aug 10, 2026
WAKUFUNZI WA STASHAHADA YA UALIMU (DIPLOMA TUTORS)
Singida
Closing: Aug 31, 2026
Ajira Market account required
Applications are accepted only through Ajira Market. Sign in or create a job-seeker account, then complete your application there.
Job Description
● Kufundisha masomo ya Stashahada ya Ualimu kwa mujibu wa mtaala rasmi wa miaka mitatu.
● Kuandaa maandalizi ya somo (lesson plans), scheme of work na teaching materials kabla ya kufundisha.
● Kufundisha kwa nadharia na vitendo, kuzingatia mbinu shirikishi za ufundishaji (learner-centred methods).
● Kufanya tathmini endelevu (continuous assessment), kusahihisha kazi za wanafunzi na kutoa mrejesho kwa wakati.
● Kusimamia na kuongoza wanafunzi wakati wa mazoezi ya ufundishaji (teaching practice) shuleni.
● Kuandaa na kusimamia mitihani ya ndani kwa mujibu wa taratibu za Chuo na NACTE.
● Kuhudhuria na kushiriki mikutano ya kitaaluma, warsha na semina za maendeleo ya kitaaluma.
● Kuwa kigezo bora cha maadili na nidhamu kwa wanafunzi wanaojiandaa kuwa walimu.
● Kutunza kumbukumbu za mahudhurio na maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.
● Kutekeleza majukumu mengine ya kitaaluma atakayopangiwa na uongozi wa Chuo.

Requirements & Qualifications
● Uwe na Shahada ya Kwanza (Bachelor's Degree) TU katika fani ya elimu au somo analokusudia kufundisha — waombaji wenye Stashahada pekee au Shahada ya Uzamili (Masters) hawatazingatiwa kwa nafasi hii.
● Uwe na Cheti cha Ualimu Taaluma (Professional Teaching Qualification/License) kinachotambulika.
● Uwe na uzoefu wa kufundisha wa angalau miaka miwili (2) katika shule za sekondari, vyuo vya ualimu, au shule za msingi.
● Uwe mwalimu mtaalamu (professional teacher) mwenye rekodi nzuri ya utendaji na maadili mema ya ualimu.
● Ujuzi wa kutumia TEHAMA katika ufundishaji utakuwa faida ya ziada.
● Uwezo wa kufundisha kwa Kiswahili na Kiingereza.

Position Summary
Employment Type
full time
Vacancies
200
Location
Singida
Posted On
Aug 10, 2026
Deadline
Aug 31, 2026
Recruitment Safety
Singida Teachers Training College never asks for payment during the recruitment process. Applications are handled securely through Ajira Market.