← Back to News & Events
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Latest News

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

August 18, 2026

Chuo cha Ualimu Singida (STTC) ni taasisi ya elimu inayojishughulisha na kutoa mafunzo
bora ya ualimu, utafiti na huduma kwa jamii kwa lengo la kuzalisha wataalamu wenye umahiri,
maadili na ubunifu.

Kutokana na upanuzi wa shughuli za kitaaluma na kiutawala, Chuo kinawatangazia Watanzania
wenye sifa, uwezo, uadilifu na ari ya kufanya kazi kuomba nafasi zifuatazo za ajira.

FURSA SAWA ZA AJIRA
Chuo cha Ualimu Singida kinatoa fursa sawa za ajira kwa wote. Wanawake, watu wenye
ulemavu na wa